mgeni rasmi alitoa maelekezo:Serikali imefanya jitiada yakuingia ubia na NMB ili kutoa mikopo kwa wajasiriamali wadogowadogo waweze kunufaika